Malkia
mstaafu wa penzi la Diamond Platnumz ambaye ni muigizaji wa filamu hapa
Tz, Wema Sepetu a.k.a Madam aliyewahi kuwa top kwenye shindano la Miss
tz 2006, ametoa kauli tano nzito kwenye chanzo chetu makini kufuatia
pigo kubwa la kutoswa na Diamond Platnumz a.k.a sukari ya warembo.
“1.Simpendi
Diamond kabisa 2. Zari Haniwezi kwenye issue za Fashion 3. Sasahivi
mimi ni timu Alikiba 4. Sipo tayari ku-date na msanii yeyote 5.
Simshauri mtoto wa kike kujichubua coz yaliwahi kunitokea nikajuta.” Alisema Wema
0 comments:
Post a Comment