Kim Kardashian amehatarisha ujauzito wake mchanga kwakutembea na viatu virefu katika mizunguko yake.Almanusula ahanguke vibaya barabarani kisa urembo wakuvaa mchuchumio.Hameonesha kutojali taratibu za utunzaji mimba kwani anakula kila msosi bila kuchagua na kuvaaa nguo fupi.
0 comments:
Post a Comment