Thursday, June 4, 2015

Mwanamama mke wa msanii wa hip hop marekani Kanye West  afunguka kuwa hakuna
kitu kinacho mkera katika maisha yake kama kuwa na tumbo kubwa alisema jana wakati wa mahojiano na kituo kimoja cha tv pande za mbelezz kwa kulizwa kitu gani anachukia katika mwili wake na kusema tumbo ndo kikwazo kikubwa kwake japo anajitahidi lipungue alisema kim.
Categories:

0 comments:

Post a Comment