Tuesday, June 2, 2015

South Africa walionga baadhi ya viongozi wa shirikisho la mpira duniani FIFA ili kufanyika kwa kombe la dunia nchini kwao ikiwa ni nchi ya kwanza Afrika kombe hilo kuchezewa kwao.Mchezo huo ulifanyika mwaka 2008 kiongozi wa shirikisho la mpira South Africa FA Mr Warner amekanusha madai hayo uchunguzi kwa rais wa FIFA Sepp Blatter unaendelea.Mashindano hayo ilibidi kufanyika nchini Moroco ila walishindwa kulipia rushwa hiyo.



0 comments:

Post a Comment