Sunday, June 21, 2015

Kocha wa taifa stars Mart Nooij ametimuliwa kuifundisha timu hiyo aliyo ichukua mwezi wa nne mwaka jana  ameiongoza mechi 18 na kushinda mechi tatu kutoa sare mechi sita na kufungwa mechi tisa.Analipwa kwa mwezi milioni 25 mkataba wake umebakiza miezi kumi atalipwa fidia millioni 250.Kocha huyo muholanzi aliachiwa timu hiyo toka kwa kocha Kim Poulsen leo huko Nzanzibar Taifa stars imechapwa tatu bila na timu ya taifa Uganda kwenye mchujo wa kombe la African Nations Champion.



0 comments:

Post a Comment