Tuesday, June 9, 2015

Mbunge mtarajiwa Nape Nnauye na Muheshimiwa Kinana wakiwa kazini kueneza chama na itikadi hawanaga mchezo.Wanaweza kula wali kwenye sinia,kushika masufuria,kubebe mawe hata kushika majembe.Kule mtaa wa pili Ukawa hatujajua uwezo wao na uzoefu wa sanaa ya kula hadi ukoko.

0 comments:

Post a Comment