Morning my people Off to Mwanza en route Bukoba on the Fastjet Airbus U know I need a lot of your SUPER PRAYERS in the name of JESUS nifike salama I am humbled U know! - le Mutuz
My number One fans Fastjet Air hostesses Maureen@momothetraveller & Esther love U guys thank U for Super love....guys THANK U KWA PRAYERS NIMEFIKA SALAMA ILA MWANZA HAPA MVUA SANA BUT LOVE U GUYS! - le Mutuz
LE Bukoba One live at BUKOBA KOPLING SUPER HOTEL ...........THANKS GUYS KWA SALA KWA KWELI HALI YA HEWA HAIKUWA SAWA LAKINI NIMEFIKA KWA JINA LA YESU NA SALA ZENU LOVE U GUYS NA I AM HUMBLED SANA! - le Mutuz
My Cousin by blood Sunday @reubensunday yeye ndiye Big Boss wa Konyagi Company LTD hapa Bukoba..I mean I love my Nduguz and my Family ila I also believe in a Space for each other unajua ndugu mkiingiliana sana italeta Conflict so I am kool na this Cousin of Mine! - le Mutuz

Kanisani Kashura Bukoba downtown with my Super Brother Peter Luangisa mtoto wa Marehemu Mzee Luangisa from New York City/USA amekuja na Mwili jana ...this is One of my TRUE friend infact hata kuja kwangu huku ni my Respect to our friendship zaidi....at One point Mimi na yeye tulifika New York at the same time baada ya kusota sana tukafikia mahali tukaweza kuwa kuwa na pesa ya kutafuta Apartment lakini hela yetu ilikuwa ndogo sana so tukakaa South Side of Downtown New York at THIRD STREET Nyumba ilikuwa almost kama inataka kuanguka panya na mende kibao so hata Vitanda tulikuwa hatuna tunalala chini hahaha ..na Marehemu alikuwa akija kututembelea na kutupa sana moyo tupigane tusikate tamaa ..but later on tukawa sawa tukaishia kuwapeleka watu wengi wanaotuhusu Kule USA na hata nilipoamua kurudi Bongo niliamuachia kila kitu kinachonihusu akanisafirishia kuniletea Bongo later na honestly huwa ninaongea Naye kwa simu almost kila siku and here we are again after 4 Years apart. Ni urafiki uliofikia undugu ..this is my BROTHER I mean and I thank my God kuniwezesha kufika hapa tena salama salimini now tupo KANISANI KSHURA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAZISHI NI KESHO NYUMBANI KWAKE KITENDAGULLO! - le Mutuz

Isamilo Hotel people ukija Mwanza check them out I had a nice and Comfortable Super 3 hours rest now on my way to the Airport! - le Mutuz
Off to Bukoba Auric Plane! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment