Sunday, June 14, 2015

Rapper Lil Wyne amesaini mkataba mpya na mwanamuziki nguli wa hiphop Jay Z chini ya kampuni ya Tidal inaohusika na uuzaji wa miito ya simu.Ingawa ajaweka wazi kama atasimamiwa hai kazi zake kimuziki.Lil Wyne aliingia katika mgogoro mkubwa hadi kupelekana mahakamani na lebo yake ya Cash Money inayomilikiwa na Bird Man kisa kazi zake kutoenda sokoni kwa wakati na kudhulumiwa pesa yake.

0 comments:

Post a Comment