Saturday, June 13, 2015

Waziri Magufuli akikusanya saini za wadhamini Magu,mkoani Mwanza ikiwa dalili ya mvua huanza na manyunyu.Steven Wasira yupo jijini Mwanza akiwa na mapokeo hafifu huku akiwakebei wanaotumie fedha kuutafuta urais.Edward Lowasa akizidi kuchochea kuni mkoani Tabora mapokezi yake ni funga kazi.January Makamba katika ubora wake mkoani Ruvuma akiwa na mapokezi yaliyonona.







0 comments:

Post a Comment