Staa
wa sinema za Kibongo Halima Yahya ‘Davina’. Habari kutoka kwa chanzo
makini kilieleza kwamba, mara kadhaa Davina amekuwa akiomba msaada kwa
ndugu, jamaa na marafiki wamsaidie kumuombea msamaha kwa mumewe ili
waendelee na maisha kama ilivyokuwa awali.
“Davina amekubali yaishe,
unajua anampenda sana mumewe, ‘so’ anahaha kwa ndugu ili wamuombee
msamaha,” alisema ‘kikulacho’ huyo wa Davina.
Sorry! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa
kumwangukia mumewe, Abdallah Shakoor ili kurejesha uhai wa ndoa yao
‘iliyokwaruzwa na makucha ya shetani’ ikiwa ni njia ya kurudisha heshima
na hadhi yake kwenye familia na jamii kwa jumla.
Halima
Yahya ‘Davina’ akiwa katika pozi. Baada ya kuudaka ‘ubuyu’ huo, Ijumaa
Wikienda lilizungumza na Davina ambapo alikuwa na haya ya kusema: “Hayo
ni maisha yangu binafsi, hayamhusu mtu, kwanza nipo kwenye kikao,
niache.”
0 comments:
Post a Comment