HABARI
zenu wapendwa wasomaji wa safu yetu hii, tunaokutana kila wiki katika
kuburudishana, kuelimishana na mara nyingine hata kufundishana. Najua
wapo baadhi ya wasomaji hawakosi kabisa sehemu hii kwa sababu
yanayozungumziwa, ama yamewakuta, au wanashiriki hadi sasa, au yaliwahi
kuwapata watu wao wa karibu.
Katika jamii tunayoishi kuna mambo
mengi yanayoendelea ambayo huonyesha jinsi gani wawili walivyohusiana
kimapenzi, lakini hujitokeza baada ya mapenzi yao kuharibika.
0 comments:
Post a Comment