hivi karibuni katika tuzo za KTMA aliwaacha watu midomo wazi baada ya kutinga na kivazi kilichoacha sehemu kubwa ya makalio yake nje na kuzua minong’ono katika mitandao ya kijamii.
Faiza breaks the KTMA 2015 red carpet…this night. Just see
Mathew Ogalo Silas Makorwa Pole
ila nilijua lazima itakuwa hivyo hakuna baba anayekubali mazingira
unayomjengea mtoto, Sijapenda unyanganywe mtoto ila sikupenda pia
alelewe na mazingira unayomjengea kwa maisha ya kitanzania maana
angeweza kuwa zaidi yako kimavazi nahisi angeweza hata kutembea uchi
angekulia kwako.
|






























0 comments:
Post a Comment