Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 17, 2015
Menina msanii wa bongo fleva mwenye urembo wa pekee na mguu wa bia na ngozi nyororo isiyo na harara wala chunusi.Hivi sasa anayefaidi penzi lake ni mbongo fleva Baraka da Prince baada ya kuachiwa kijiti hicho na Diamond Platnum.
0 comments:
Post a Comment