Nisher directer wa video za muziki wa Bongo hajawahi kuwa na mpenzi wa kike ingawa ni maarufu katika tasnia ya burudani ya uongozaji filamu.Nabii Geodavie ni baba yake mzazi wenda mambo ya kiroho yanamuongoza hivyo.Mara kwa mara mashabiki wametaka kudadisi mpenzi wake hata wa kusingiziwa hujibu kwa kusema bado hajabarikiwa na bwana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment