Sunday, June 7, 2015

Kuna watu wanalitafuta umbo kama langu kwa wachina mwisho wa siku wanaumbuka mi hili langu nimezaliwa nalo. Wacha linipe riziki kwani sijaazima wala kununua ni langu tena langu mwenyewe. Upo hapo..

0 comments:

Post a Comment