- Ajrath Badru Ajrathi Omary Ishallah mwenyezimungu amjalie afya njema katika uongozi wake
- Yahya Msangi Ameeen! Wameonyesha ukomavu wa kutogombea madaraka. Wamempa mtu mmoja kura zote! Ni ishara njema. Japo kuna wakorofi nje wasiotaka kusikia kuna BAKWATA.
- Asha Selemani Hongera cna
- Ally Mpekeya takbiil
- Daniel Kalasha Mwenyezi Mungu amzidishie wepesi katika utendaji wake na utimilifu wa majukumu yake
- Jannat Ahmed m.mungu amjalie kila la kheri ktk uongoz
- Hamza Athuman Mashallaah,M.Mungu amjalie awe mwenye kusmamia vyema changamoto znazotukumba kila mara ktk dini yetu!
- Abou Silliah Arudishe viwanja vyetu vya changombe. Hatuwasamehe katu. Wakizungumza umoja, huku hawajishughulishi na madhira kwa waislam wenzao basi hamna uongozi. Ponda anawaumuza wengi
- Khamis Khalfan Bakwata wanarudisha nyuma uislam Tanzania sitaki hata kuwaona wanafiki wakubwa hao
- Hassan Kurwa We unasema Bakwata wanarudisha nyuma Uislaam kwa lipi ulilochangia na ukakwamishwa? Tusipende kulaumu kulaumu wakati hatuna mchango wowote. Alhaji Abuubakar Zuber ni Jembe la uhakika. Bakwata hapa wamejitendea haki na naamini tukitoa ushirikiano kwake ...See More
- Abdallah Timbaye Saw a lakini aongoze KWA misingi anayo itaka allaj
Hassan Kurwa Tumuombee Mungu kaka Abdallah Timbaye namjua Alhaji Abuubakar hekima na uelewa wake kwa Alaaah











0 comments:
Post a Comment