Friday, June 12, 2015

Le mbebezz wa msanii Kalala Junior aitwaye Muna Alphonce hajui kupika,Ushahidi wa mdada huyo kutojua shughuli hiyo ya upishi ni huu wa picha za hotelini.Kila siku yeye ,mme na mtoto wao wamekua wakila hotelini siku nzima.Wenda nikulinda urembo wake wa kucha na ngozi.




0 comments:

Post a Comment