Monday, June 29, 2015



    "Zaidi ya 80% ya waandishi wa habari wa Tanzania hawana Mikataba. Tusipofanya kama tulivyofanya kwa Madereva taifa liko hatari.
    Imefika hatua wanaosha magari ili wapate pesa ya kuwatibu wanahabari wenzao. Wamiliki wa vyombo vya habari hamuoni hilo au nao Wagome?
    @zittokabwe @mkandamizaji @adamchomvu @orijinokomedi @aytanzania @albertomsando @millardayo @lemutuz_nation @jerrysilaa @bikira_wa_kisukuma @cloudsfmtz @ajkikwete @kikwete @ec"
  • Kudrah Doha Fantastic > Paul C Makonda
  • Elias Katole Tunahitaji viongozi wa namna hiyo
    wenye mawazo yenye afya na yanayioisaidia jamii yetu
    hongera kwa fikra pevu
  • Madaraka Bryan Ntimi Wengi walibeza huu uteuzi,
    We now experience the difference!!!
    Keep it up broh.
    Like · Reply · 2 · 2 hrs
  • Lucky Son Kiongozi huwa anazaliwa bali mtawala anatengenezwa,kiongozi daima anakumbuka wenye uhitaji mtawala anasubiri mhitaji amfikie kuleta lalamiko!waandishi wa habari jambo hili msilinyamazie kimya pazeni sauti na mh.makonda atawashika mkono tengenezeni historia kwaajili yenu na waandishi wajao!please we need a deep audit on this honarable Makonda!Bigup man
    Like · Reply · 1 · 2 hrs
  • Geofrey Eliphay Malila Safi makonda! Uteuzi wako inaonesha haukukosewa!
  • Joseph Colyvas Safi Mkuu
  • Michael Juma chama chako ndio tatizo la hayo yote,ongea na mwenyekiti wa chama taifa,mpe huo ujumbe kwanza
  • Lucky Son Kwani waandishi wa habari ni waajiriwa wa chama chake?lets be logical,waandishi vyema mkaidai haki yenu ya kupewa mikataba na waajiri wenu serikali itawasaidia kutengeneza njia yakuwashinikiza waajiri hisika kuwapa mikataba kama wanaihitaji pia, na hilo ndilo atakalolisimamia paul makonda kama sehemu ya serikali sio muandishi au muajiri!Michael Juma
    Like · Reply · 3 · 2 hrs
  • Matias Kisitu HAKIKA JK HAKUKOSEA KUKUTEUA
  • Khalifa Mutabuzi uko sahihi kabisa na ndo maana habari nyingi zinazotolewa mara nyingi hazina weledi..
    wengi wao huatoa habari kulingana na hisia zao
    Like · Reply · 1 · 2 hrs
  • Michael Juma chama chake ndicho kimeunda selikari Lucky Son pia huyu ni kiongozi wa selikari hiyo hiyo,hivyo anajukwaa au nafasi kubwa ya kushauri au kuamua cha kufanya sio vinzuri kumkosoa mtu au taasisi unafanyia kazi fb au kwenye mitandao,wakisema wapinzani kama...See More
    Like · Reply · 2 · 1 hr
  • Babu Abdallah Singano Sitaki kusema hawajielewi.... Ila wakubaliane na mimi kuwa Wanatumika...!! Dah!! Bro Paul C. Makonda umeleta hisia mpya katika uongozi wako hapa kinondoni.. Big Up sana, unastahili kukaa sehemu flani hivi nyeti ktk baraza la Mawaziri... Kwanini usianze na Ubunge tena hapa hapa kinondoni yetu... Idd Azan pls tuachie huyu mtuuu
    Like · Reply · 1 hr
  • Lucky Son Nadhani lengo lake ni kuonyesha utayari wakuungana na waandishi ili wapate haki yao ambayo pengine waajiri wanatake advantage kwakuwa hawajaamua kuona kama wanaistahili!na kama swala ni uwepo wake serikalini yaaah na bado yupo serikalini na atalifanyia...See More
    Like · Reply · 2 · 1 hr
  • Michael Juma Babu Abdallah Singano kuwa makini bro,tabua hiki ni kipindi cha uchaguzi huwa viongozi wanafunika maovu waliotenda kwa miaka mitano ili tuwape tena mingine,haya yote kwani si yako kwenye sheria ila kwanini hayatekelezwi na selikari.
    Like · Reply · 1 · 1 hr
  • Lucky Son Hivi nini maana halisi ya uongozi kama ikiwa maadamu wapo waliokuwepo kabla yake basi yeye akae tu asitatue kero za watanzania,asipofanya anayoyafanya bado tutamlaumu akifanya tunamlaumu,waliokuwepo walifanya mengine hili hawakulifikia sasa yeye ktk ki...See More
    Like · Reply · 2 · 1 hr
  • Michael Juma nawewe acha kujifanya hauelewi,kusema au kulalamika siyo kazi ya kiongozi kazi ya kiongozi ni kutenda
    Like · Reply · 1 · 1 hr
  • Hussein H Kitambi Nilisema mimi huyu jamaa hatanii ana moyo wa kulitumikia taifa watu wakambeza.safi sana my friend Paul C. Makonda tupo nyuma yako kwa juhudi unazozionesha mungu akuongoze zaidi upate ubunifu zaid na jicho la kuona matatizo yanayowakabili watanzania wenzako
    Like · Reply · 1 · 30 mins
  • Hussein H Kitambi Waandishi onesheni utayari wa kudai haki zenu ili viongoz kama Paul C. Makonda wawasaidie
    Like · Reply · 1 · 28 mins
  • Abdallah Mtey word bro!
  • Daniel G. Dalis Kama takwimu zako Paul C. Makonda ni kweli basi nchi itakuwa hatarini sana. Na hatari yenyewe ni kupata viongozi wa level zote makanjanja wanaonadiwa na waandishi makanjanja. Nchi itakuwa ya ukanjanja
    Like · Reply · 1 · 7 mins

0 comments:

Post a Comment