Sunday, June 28, 2015

Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Mh @anthonymavunde katika ufunguzi wa mashindano ya ‪#‎Dc_cup‬ yaliyoandaliwa na Dc kijana ambaye ni mpenda michezo ambaye yeye pia alishawahi kuwa kiungo machachari sana enzi zake, Mashindano hayo yamefunguliwa rasmi leo siku ya jumapili, Pia napenda kumpongeza Dc @anthonymavunde
Kwa kuendeleza vipaji vya vijana wa mpwapwa na Dodoma nzima kwa ujumla







0 comments:

Post a Comment