Posted by Williammalecela.com on Sunday, June 07, 2015
Nabii akubaliki kwao Mo Music jana usiku kwenye shoo ya chuo cha Saut ambapo anasoma mwaka wa tatu,Amezomewa vibaya na wanafunzi hao kupelekea kuweka kipaza sauti chini na kuondoka jukwaani.Wasanii waliotumbuiza kwenye shoo iyo hitwayo Galla Night ni Young D,Country Boy,Pam D na Shetta.
0 comments:
Post a Comment