Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 23, 2015
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amelazimika kusimamisha msafara wake kushuhudia ajali iliyotokea eneo la Mtoni kuelekea Bububu. Katika ajali hiyo mpanda vespa (jina halikufamika mara moja) amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari, huku msafara wa Maalim Seif ukikaribia eneo hilo. (Picha na Salmin Said, OMKR).
0 comments:
Post a Comment