Monday, June 1, 2015

Enrique Iglesias mwenye umri wa miaka 41 amejikata mkononi mara baada yakushobokea kamera yenye kutembea yenyewe nakumulika mashabiki.Ilimkata mkononi baadhi ya vidole kwaubishi aliendelea na shoo kwa nusu saa.Tukio hilo limetokea Mexico,Tujiana ijumaa hii kwakua ni star aliwahishwa kwenye ndege kuelekea marekani kwa daktari bingwa.


0 comments:

Post a Comment