Msanii maarufu nchini JUMA aka JUX jana siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani amenaswa akiwa na mpenzi wake akiwa amevaa maungo yote yakiwa nje kinyume na maagizo ya Mtume Mohamed na pia wameonekana na Vyakula vinavyoonekana kuwa vimeliwa huku huu ni Mwezi mtukufu wa Ramadhamani, picha hii imewaacha waumini wengi wa Kiisilam wakiwa na mshangao wa ajabu sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment