Tuesday, June 9, 2015

Enock mwenye sauti nzito kutoka mkubwa na wanawe ya Moto band,Baada ya kuvuma na kibwagizo cha una rambo minina mua utanipwelepweta bure.Ameamua kuuweka wazi mua huo kuwadhihirishia watanzania wanacho kifikiria sicho walicho maanisha.Ile ni lugha ya sanaa maneno huweza kuwa na maana nyingi.Ya Moto Band wanafanya vizuri sana kwa sasa kwenye tasnia ya muziki kutokana na kuonesha uwezo wa hali ya juu ukilinganisha umri na maumbo yao.Ingawa uhalisi watoto hao pamoja na shoo nyingi wanazofanya bado wanatembea kwa miguu ila ni sehemu ya maisha ya muziki.

0 comments:

Post a Comment