Sunday, June 21, 2015

Baada ya kupata tunzo ya wimbo bora wa kushirikiana Mwana FA kupitia wimbo aliomshirikisha fundi wa muziki Ali K for real kiboko yao.Amedai tuzo hiyo mwanae wakike ameamua ikae kwenye kabati la midori.Tunzo hiyo yenye thamani kubwa hapa bongo na wengi wasanii hawajawahi ipata ila kwake haina thamani kihivyo ina uwezo wakuchanganywa na vitu vyakuchezea mtoto.Wasanii ambao hawajawahi pata tunzo za kili ni Mr Blue,Juma Nature na Dully Sykes ni maneno yakutia hasira kwa wakosaji hawa.

0 comments:

Post a Comment