Thursday, June 18, 2015

Mwanamke mwenye umri wa miaka 38 amemtandika mwanamke mwezie baada ya kumshutumua rafiki yake huyo kuwa anachepuka na muwe wake katika mitaa busy katika mji wa Puyang katika mashariki ya China ya Mkoa wa Henan.
Lilikuwa ni tukio la aina yake katika mitaa ya Busy maana mwanamke huyo alimshambulia rafiki yake kwa mateke na ngumu na kumdondosha mpaka barabarani kwenye lami na kuachana uchi kweupe watu wakishuhudia sinema ya bure ya wanawake hao.

0 comments:

Post a Comment