Wednesday, June 3, 2015


Irina Shayk aliyekua mpenzi wa Cristiano Ronaldo inasemekana aliongopewa kwenye uhusiano wake na Cristiano Ronaldo kwa wanawake wasiopungua 12. Wanamke mmoja ambae amefanya interview na gazeti moja amesema kwamba yeye ni mmoja kati ya michepuko ya CR7 wakati yupo kwenye uhusiano na Irina.
Daniella Chavez amesema kwamba yeye na CR7 walikuatana November 2014 huko Marekani. Yeye na Ronaldo walikua wanawasiliana kwa email na skype kwa muda mrefu hadi Ronaldo alivyomaliza msimu wa ligi na kwenda Marekani.Anasema Ronaldo alikua na aibu nyingi lakini mwisho wa siku aliyasifia matiti yake na sura yake. Mwisho wa siku waliishia kumaliza siku yao gizani na kufanya mambo ya kikubwa. Msichana huyo amesema anafurahi kutimiza ndoto yake ya kulala na Ronaldo kwasababu alikua anavutiwa nae.




0 comments:

Post a Comment