- Hafsa Kaila Una kiranga na wewe pia sema na moyo wako umezidi
- Zubeda Muwango Hahahaaaa....
- Zubeda Muwango Hafsa kaila umenichekeshajeee....???
- Zellah Jonas Mumekutana wawili mumetongozana wawili.mapenzi yeni hamukayaanika fb,leo mimegombana mnaanikana mnatuomba ushauri.sio ustaarabu kutembea na mtu then kumutangazia mbona weng tumedanganywa mitandaon na hao wanaume hatujawaanika.humu mitandaoni mapenz ni akili yako.ukianza kuwaanika hivyo utawajaza wangap?acha ushamba nisawa.umelala na mtu mtaa mmoja kesho unamtangazia ushamba huo
Zellah Jonas Kama tuliiba wote





0 comments:
Post a Comment