Thursday, June 25, 2015


LICHA ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo.


Habari kutoka kwa chanzo makini zinaeleza kuwa, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kuwa, kwa sasa Kiba ëanatokaí na Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo ëKidotií huku Kiba mwenyewe akikataa madai hayo...

1 comment:

  1. Big up kiba!achana na mambo ya ugomvi,kuza music kwani jitihada zako zinaonekana!mtakie mwema mwenzio.yeye akikutakia mabaya ni hajitambui.usiwe kama wao,think big!Big up man

    ReplyDelete