Mh January Makamba naendelea na Ziara yake ya Kusaka
Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo alikua katika Mkoa
wa Shinyanga akiomba Uzamini.
Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na
wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu
walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa
Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba
wanashinyanga kumuamini na kumpa udhani maana January ni Jembe na
anaakili anauwezo wa kuongoza Nchi. January Makamba naendelea na Ziara
yake ya Kusaka Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo
alikua katika Mkoa wa Shinyanga akiomba Uzamini.
Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na
wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu
walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa
Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba
wanashinyanga kumuamini na kumpa udhani maana January ni Jembe na
anaakili anauwezo wa kuongoza Nchi.
0 comments:
Post a Comment