Omary Nyembo amejikuta akishukiwa na mvua ya matusi kutoka timu nonihino baada ya kupost cover ya Ali Kiba cheketua video inayotoka kesho asubuhi.Matusi hayo yameambatana na kumtukana mama yake ambaye amedai ingawa amekufa ila haimuumi hata kidogo.Mashabiki wa timu pinzani wamemlaumu kwa kutopost kazi za msanii wao alipoachia nyimbo mpya ya nana hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment