Staa wa Bongo Movies Wastara Juma ame-share nasi picha hizi akiwa gym anafanya mazoezi huku akiandika maneno kuelezea kuwa yupo kwenye maandalizi ya filamu mpya inayofanyika chini ya kampuni ya WAJEY Film Company ambapo atakuja kivingine.
Hii ni mistari aliyondika kwenye picha hizo;
WAJEY Film Company Back Soon, New Project New Style
WAJEY, sio mdomo tu hta mkono upo gado
WAJEY....ila ninawashwa kumchapa mtu kichapo cha mbwa mwizi
Mdau, unautabiri vipi ujio huu wa Wastara kwenye upande wa filamu za ‘action’?
0 comments:
Post a Comment