Tuesday, June 2, 2015

a
Mrisho Ngassa amesafiri hadi South Africa na mpenzi wake kwa ajili ya mampumziko. Ngassa anategemea kuweka makazi yake hukohuko pia pale msimu wa 2015/2016 ukianza kwasababu hivi sasa ni mchezaji wa Free State United ya huko huko S.A. Enjoy kuangalia picha 5 za Ngassa na mpenzi wake ndani ya South Africa.f

d

f
r
s
w

0 comments:

Post a Comment