Friday, June 12, 2015

Q Chillah A.K.A Mzee Mugabe amesema kwenye kundi la Weusi kuna mweusi mwenyewe G Nako kutokana na ukali wa kuimba viitikio vizuri.Akimaanisha Joh Makini na Nikki wa Pili ni weupe wanaojiita weusi.Jibu hilo ametoa baada ya kuulizwa nani Tanzania anajua kupiga viitikio.Ameongeza wakikutana yeye na G Nako kwenye nyimbo moja itakua ajali.Kwasasa anafanya collabo mbili Christian Bella na Sauti Soul.Pia amefanya video tatu South Africa amelipia mbili moja kapewa bure na Adam Juma.



0 comments:

Post a Comment