- Leah Mbatta Moore Hahaahahaahaha......
- Amy Niyonzima jazba ya nini?
- Happyzita Raphael muulize Rais please, unapata jibu la uhakika.
- Happyzita Raphael hayo ni maoni yangu!
- Dorah Mathias Ahaaa! Haaa!
- Sophia Msuya Mnieleweshe kwanza ndo nitoe jazba Amy Niyonzima
- Avatony Kombo unalak wew
- Nelly Kedmon Kwanza uwe na kidumu au babu mjengoni pili .labda uwe edha baba ako alikuwaga naniliuuu kwa serikari au mama yako.ukiwa huna ivyo vigezo to a pipi upate haaaahaaaa
- Sophia Msuya Asante Nelly Kedmon, naona watu wote wameogopa kusema, wewe ni mwanamke shupavu, nitatangaza nia, nitakukumbuka kwenye baraza langu...🏿🏿🏿. Sasa subirini nitatoa jazba yangu soon
- Nelly Kedmon Haaaaahaaa mwaga upupu wajikune
Ummy Mwalimu Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (Ibara ya 66 (1) (b) na Ibara ya 78 (1), (2),(3) na (4).
Kila chama cha siasa kina utaratibu wake wa kupata/kuandaa ORODHA YA MAJINA YA WAGOMBEA WANAWAKE itakayowasilishwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Utaratibu wa kuwapata Wagombea hawa ndani ya CCM ni wa ushindani mkubwa ambapo 1. Kila Mkoa kupitia Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa huchagua majina 2 ambayo yataingia kwenye orodha ya Chama moja kwa moja. Pia Mikutano Mikuu ya Mikoa huchagua jina moja la wagombea wa makundi mbalimbali - Vijana, Vyuo Vikuu, NGOs, Watu Wenye Ulemavu.
(2) Baraza Kuu la UWT Taifa litachagua wawakilishi wa makundi mbalimbali walioshinda (wa kwanza) ktk Mikutano ya Mikoa kwa idadi inayotakiwa (wawili kila kundi isipokuwa vijana wanaweza kuwa kati ya 6 -"10).

0 comments:
Post a Comment