Friday, June 12, 2015


Rehema Chalamila leo mchana amelia vibaya kama mtoto mchanga,Kutokana na maumivu ya mwili mara baada ya kuchelewa hospitali Mwananyamala kukuta muda wa kutoa dawa ya methadon umepita.Amelala mikia uongozi wa hospitali kuwafanya kama watoto kuwahi shule ili kunywa dawa hiyo.

0 comments:

Post a Comment