Rich Mavoko msanii pekee mwenye umaarufu usio ongezeka wala kupungua ingawa amejitahidi kwenda kufanya video nchini South Africa.Hivi sasa rangi ya mwili ya msanii huyo imeongezeka mng'aro kutokana na kujichubua ngozi.Mwonekano wake wa rangi ulikuwa hafifu kulinganisha na wasasa.
0 comments:
Post a Comment