Picha
iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford
akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua
maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea
mtoto huyo.
Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua
mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza
baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo
anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.
0 comments:
Post a Comment