Posted by Williammalecela.com on Sunday, June 21, 2015
Baada
ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa
mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi
hiki kitakatifu kupita, baadhi ya mashabiki ambao wanajinasibu kuijua
dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye
mitandao ya
kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda bila ndoa sio
sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi
yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo ambacho
kimepelekea Shilole kujibu mapigo kwa kuandika jina lake kamili na
kusema ni Mungu pekee ndio anamjua na sio binadamu.
0 comments:
Post a Comment