Tuesday, June 9, 2015

Baada ya ugomvi uliotokea kati ya Shilole na Video queen maarufu Rose kuhusu kauli ya Rose kuwa anaujauzito wa Nuh Mziwanda, na kwmba alikuwa naye kimapenzi mjini
Morogoro, Rose amemiomba msamaha Shilole kwa kauli hio na kusema alisema akiwa na hasira sana sababu ya kipigo na kudhalilishwa na Shilole.

Jibu la Shilole, "Usifanye hivyo tena kwangu au kwa mwanamke yeyote"

0 comments:

Post a Comment