Saturday, June 6, 2015

Nuh Mziwanda amechepuka na video queen aitwaye Rose,Majuzi alimsikika dada huyo akidai anamimba ya msanii huyo chipukizi.Maelezo binafsi ya mwanadada Rose amedai alipigiwa simu na Nuh Mziwanda wakutane Morogoro hakika walichepuka mara moja.Shilole aliahidi kumfanya kitu mbaya dada huyo nakufanikiwa kumpa kichapo ndani ya gari lake msanii huyo.
Rose amedai alitumiwa ujumbe mfupi wa simu wavitisho kwenye simu ya rafiki yake Jack.Kupitia kipindi cha EATV friday night live Rose amemuomba msamaha Shilole kwa yote yaliyotokea.

0 comments:

Post a Comment