- Joseph Masaga Sana mhemeko wa kisiasa
- Boniface James Sijakuelewa ina maana wapo wanawake wanaomtetea Huyu?!
- Sareta Joseph Hilo nalo neno
- Fadhy Mtanga Nashangaa
- Hellen Willy Ndiyo akiwemo waziri wa fedha tena ndani ya bunge
- Flora Williams Ndugu yangu Pess Mutu mimi ni mmoja ya wale wanaomsapoti huyu dada. Wanna know my reasons? 😀😀 jana nimebishana sanaaa na Abu.
- Hellen Willy Acheni kutetea ujinga wapendwa
- Jeremiah Mwakipesile Akilelewa na huyu mama kale kabinti katakuwa kanaiga kila kitu.Remember ana miaka 2 ambapo ni kipindi ambacho mtoto anakuwa ktk stage ya ku-imitate kila kitu anachokiona.
- Mary Kimiti Jamani hili swala tusichukulie kawaida,kama mwanaume angekua anapata uchungu ingekua ni rahisi sana kuhukumu,mtoto anahitaji malezi ya wazazi wote wawili lakini kwanini haya yanaletwa na uvaaji wa nguo,hakuna mtu aliefurahishwa na vazi la faiza kabisa...See More
- Daynessmacha Dayness Aaaahaaahaa
...bora kapewa baba mtoto...mama hakuna hapo..ikabikie name tuh.....kk Pess Mutu - Nuru Ngwala Nimeipenda hiyo Pess Mutu....kweli nakuunga mkono wavae hivyo au ile ya pampers ili tujue wanamuunga mkono kwa upuuzi wake
- Jeremiah Mwakipesile Hebu dondosha ya pampers
- Hannelore Mrosso Huyu ni mshenz wa tabia
- Nuru Ngwala Mpumbavu sana, kwanza pia anatudhalilisha wanawake kuonyesha kuwa tuna mioyo myepesi...toka ameachwa huyu dada kawa mjinga sana
- Debora Diana Mwakabenga Hahahaaa jeremiah mwakipesile
- Secilia Agabu Mgogo Mtoto ataona hapo mama kajisitiri...
yeye atavaa UCHI zaidi...
kwa stage development ni hatari mtoto kulelewa na mama wa staili hii....See More - Monica Mwafulilwa Ni hivi Shem faiza ndio yake yanaonekana hazarani na huyu baba unayajuwa maovu tuangalie pande zote mbili jamani
- Gwamaka Marteen Wote waliwahi kuwa hivyo (Sugu & Hubbie) bahati mbaya (nzuri???) mmoja kaenda kusiko stahili tabia hizo (bungeni)
- Dutch Man Warstyle Mama changudoa .
- Emaus Mwakalesi kwa hapo angetembea mtupu
- Aziza Bakari hata baba nae wale wale hamna kitu nae ana maovu yake kibao
- Mwene Nantaha Sugu amechelewa tangu siku alipovaa pampas alitakiwa kumnyang'anya mtoto. Naipongeza mahakama kwa kumnusuru mtoto huyo!
- Mwene Nantaha Mama ndo msingi wa malezi na siyo baba aziza bakari
- Aziza Bakari sasa baba ndio alipelekea hayo yote anayofanya huyu dada
- Janicefarry Mwakapala Pess Mutu mm pia mmojawapo ninaemtetea huyu dada....kwnz na kuvaa hv ni mama mzuri sn kwa mwanae....pili hakuna anayeweza kumlea mtt zaidi ya mama yk na mtt ni mdg sn miaka 3....sugu ni mtu yuko bize sn mtt atalelewa na bibi au mama wa kambo kitu ambacho c sawa.....na swala la pili akiwa na sugu alikuwa anavaa vichupi hvy hvy pics zipo dats means alimkuta anavaa vichupi akakubali amzalie...leo ndo anaona co sahihi?
- Aziza Bakari sema wewe Janicefarry
- Mwene Nantaha Mahakama inahitaji ushahidi ili iweze kuhalalisha malalamiko ya mhusika. Aziza kumbuka haya tunayoyaona ameyaanika mwenyewe mwanamke mwenzetu na jamii ilikuwa inasubiri kuangalia kana Sugu ataendelea kumwacha binti yake anaishi na mama wa aina hii
- Claudia George Huyu sio mama asitudhalilishe wa mama. aliweza kuzaa ila sio mama hawezi kulea mtoto ktk maadili Mema.
- Esther Mwasota Ahahahaa!!!mie binafsi namuunga mkono Sugu kwa maamuzi aliyoyafanya kabisa!!Ingawa na mie mwanamke tena mzazi wa watoto wangu sipendezwi hata kidogo na mienendo ya huyu mwanamke jina asio jitambua hata kama ni kutafuta umaarufu sio kihivyo kuanza pale alipoanzia kuvaa top na pempaz mara shat pekee na sasa hizo kamba za vitnge!!!!hovyoooooo
- Bumi Brenda Elly Haya nimekuja mwl wa watt ambae nakutana na vitimbwi kama hvyo mfn last mnth nimemkuta mtt analiwa naniliu na mtt mwenzie wa kiume ilibid nikae nae mtt niulize kaona wap hakuogopa akasema anaona anafanyaga mama na anko na si baba ake sasa hayo ni malez...See More
- Mwene Nantaha Ha ha ha ha ha uwiii aziza mtoto huathirika saana na anachokiona kwa macho hayo mengine ya kawaida saana. Mama yangu nampenda saana alinilea kama FFU niliamka alfajir kufanya kazi za ndani na kupika chai kabla ya kwenda shule na mchana nilirudi kupika na kuwahi kurudia shule saa nane nampenda sana sikuwahi kujifunza haya
- Evelyn Munisi Hahahaaaa a halafu waandamane wakiwa wamevaa hivyo na mabango bring back our sasha
- Mwene Nantaha Pess thanks kwa mada hii. Mahakama safi sugu unajitambua nakushukuru kwa kumuokoa mtoto wako ambaye atalisaidia taifa hili. Mimi ni mama wa mabinti wawili lakin loh siwezi kuwapoteza kwa hivi!!!
- Judith Francis Baba mapupu, mama bandama sijui kutakuwa na tofauti gani katika supu hizo mbili?
- Bumi Brenda Elly Sugu anahaki je mmewah ona magazet wameweka picha ya sugu yupo uchi? Mavaz yamemponza mwenyewe uliza kwao amelelewa uchi hvyo? Maisha yamempiga anataka kiki pole sana mbona akina zari,kajala wanao watt wameeka picha uchi kwenye ishu kubwa kama hyo?
- Mwene Nantaha Bumi brenda sahihi mtoto anakariri kile anachokiona hasa mtendaji akiwa mama aiseee!
- Mwene Nantaha Hapana kwa kweli mama unavaa pampers ili iweje na mnasema ana haki ipi hapo jamani hata sisi kwa mama zetu hatukuyaona haya
- Bumi Brenda Elly Ndo hvyo ila baba hawez kufanya ujinga huo akijua mtt yupo ndan anaona akafanye mbali huko
- Bumi Brenda Elly Uwiiiii kiukwel mie suruali nilikuwa navaa nikienda safar tu duuuuuh haya maisha daaah mbona akina wema,jokate,irene,vanessa wamelelewa kizungu mno mbona hawapo hvyo?
- Mwene Nantaha Umaarufu mzuri ni kujituma na kumtimizia majukumu mtoto wake kumpa elimu bora hizo ndo sifa za maana kwetu wanawake wa leo
- Bumi Brenda Elly Ndo hvyo ila jaman kasema mtt atahakikisha anamrudisha na mavaz yake atavaa vilevile sasa si ndo upuuz huo angejishusha aonekane mwema tu
- Mwene Nantaha Ha ha ha ha Uwiii wanawake tujifunze ugomvi wetu na mabwana zetu tusiwqhusishe watoto wetu maana watoto tunaowazaa ndiyo viinua mgongo vyetu vya baadaye. Anajisumbua mtoto wa kike huwa na mapenzi na baba kuliko mama, mimi ninao naona na ninajua hampati tena huyo tena dogo hatamkumbuka kabisaaa
- Isaya Mwandi Mahakama imekwisha amua. Ambae hajaridhika akate Rufaa.
- Upendo Ngaga kwaa mavazi hayo mahakama imefanya vema.
- Joyce Mtuma Hahahaaa, kaka yangu mimi ni mama lakini kwa mpango wa mama huyu simuungi mkono hata robo nipo upande wa baba alee mtoto wake aisee. Mama ni msingi kweli Mwene Nantaha lakini si kwa huyu. Mtoto anajifunza nini hapo? Tusiongee tu kisa sisi ni wanawake.
- Josephat Masewa Mama Bora or Bola . Safi sana Mh Sugu .
- Gideon Mwanjoka Wanawake sasa wanakoelekea kwa Mtindo huu huwez ukawatofautisha na ah..... Yaan wameacha maadili wanaitafuta haki haki y'all kipuuz Kama hii bas bora wanaume tuwekemgomo wa kuoa ifike sehemu na cc wanaume tuoe kwa kwa mikataba kuwe na contract kabisa atakaeshindwa kuuheshim mkataba tunavunja ndo hapo ni haki kwa haki
Ally Abdul Makenya Huu
ni mwezi wa kuomba toba plz picha zingine ni mitihani jamani
tusameheane najua ni haki ya mtu kufanya atakavyo lakini tuheshimiane
kidogo katika mweni huu wa Ramadhani, samahani lakini mdau!




































0 comments:
Post a Comment