Thursday, June 25, 2015


Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na taarifa iliyosambaa kuwa alitoa kauli dhidi ya Diamond kuwa anajisikia kichefuchefu kila akimsikia msanii huyo.
Akizungumza na Bongo5 jana, Alikiba alisema hata watu wake wa karibu wanajua hawezi kufanya jambo kama hilo.

“Hiyo mimi nimeisoma juzi na mwenyewe sijaifurahia. Vilevile na kibaya zaidi inaonesha eti kwamba mimi nimesema nikimsikia Diamond najisikia kichefuchefu, mimi namchukia Diamond,” amesema.
“Yaani kwa uelewa wangu na akili yangu timamu hata watu wanaonielewa mimi hata uwezo wa kusema hivyo sina na siwezi, kibinadamu 

0 comments:

Post a Comment