KIBANO!
Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’
kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea
nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’
kamili.
Staa
wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.Tukio
hilo lililoshuhudiwa hatua kwa hatua na gazeti hili, lilijiri Juni 26,
mwaka huu kwenye eneo la kukagulia mizigo ya abiria uwanjani hapo
kitendo kilichosababisha Diamond kutokwa na kijasho chembamba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment