Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu.
Miss
Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito limeshazungumzwa mara
kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kulizungumzia
lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.
Wema ambaye pia ni
muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni
masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana
na imani za nguvu za giza.
0 comments:
Post a Comment