Tanzania ni nchi pekee duniani yenye matukio ya mauaji ya maalbino leo duniani ni siku ya kutambua maalbino uwepo wao ni muhinu kama watu wengine.Vifo vingi hivi karibuni vimetokea kanda ya ziwa wahusika wakuu wakitajwa ni wanasiasa.Mbaka sasa hakuna mtangaza nia aliyeweka wazi kutatua janga hili la aibu nchini Tanzania.Vyombo vikubwa vya habari BBC na magazeti ya Uingereza yamekua yakiripoti aibu hii kwa taifa letu.SayNoToAlbinoKillings.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment