Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 18, 2015
 |
Mtangazaji wa TBC Florence Dyauli amefariki dunia leo asubuhi jijini DSM.
Florence ni mwandishi wa habari wa muda mrefu, alikuwa mtangazaji wa
RTD sasa TBC Taifa,...Mmoja wa watangazaji waanzilishi wa TVT sasa TBC1.
Florence alisifika kwa kudhibiti
matamshi ya maneno wakati akisoma taarifa za habari pia alikuwa
mtangazaji mahiri kwa matangazo ya OB (Outside Broadcasting)
Mipango ya mazishi inaedelea DSM. Mungu ailaze roho ya Florence Dyauli Mahali pema peponi Amina.
|
0 comments:
Post a Comment