Sunday, June 7, 2015


Anton Kraft, kutoka Denmark, amepata mpenzi China Bell kutoka FloridaAkiwa kama mwanaume pekee duniani anayenyanyua vyuma vyenye uzito mara nne ya uzito wa mwili wake, Anton Kraft anaongoza kwa kuwa mtu mwenye nguvu duniani.
Mbilikimo huyo mwenye urefu wa futi 4.4, anaishi Florida, ananyanyua nondo 36.

Bell anasema alikunwa na uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizitoNa ni mtu mwenye malengo na wanawake.

Add caption

Kraft anasema ipo siku mapenzi yao yatakuwa si ya kawaidaKraft, 52, anatembea na wanawake ambao ni warefu kumzidi. Kwa miezi sita sasa amekuwa na mahusiano na China Bell mwenye urefu wa futi 6.3.


Kraft anadi alishawahi kufa mara tano miaka 10 iliyopitaBell, 43, ambaye alizaliwa mwanaume na kujibadilisha, anakubali kuwa alikuwa na wasiwasi alipoombwa kwenda kutembea lakini alikunwa na ujuzi wa Anton wa kunyanyua vitu vizito.


Kraft anasema anampenda sana Bell“Nafikiri uwezo wa Anton wa kunyanyua vitu vizito ni wa kuvuatia, kwa sababu anavutia – unaposhikilia taji la uzito wa juu duniani, hiyo ina maana kubwa,” alisema Bell.


Wanasema hawajawahi kujisikia furaha kwenye mapenzi yao kama waliyokuwa nayo sasa“Sijawahi kuwa na uhusiano na na mtu wa futi 4.4, nilikuwa na wasiwasi. Nafurahi nilimpa nafasi kwa sababu ni mtu wa kipekee.”
Huwa mnasema mahaba niue , haya ndio mahaba nizike kabisa…

0 comments:

Post a Comment