"Nini maoni yako?"
- Nhandi Smasuke and 21 others like this.
- Brightony Mnyone wanadhani siasa ni maigizoo.. na team zao zisizo na makocha.. The end is near.. OCTOBER.
- Yohana Mushi Kichefuchefu tu amefanya nn kwenye siasa ya Tanzania anajua chochote huyu kazi kutengeneza timu za kipuuzi
- Jonny William Aisee. Ndorobo kweli huyu
- Gift Macha Aende tu.. anaweza kupata mume huko maana huku kwingne tumemchoka
- Mohamed Saleh Azan Azan Toa huo upuuzi unataka maoni gani hawa wakina nani kwanza ? Mpaka unataka maoni yetu!Like · Reply · 7 hrs
- Babu Macha Haaaaa haaaa haaaaa hatariii hakika hiki ni kichefuchefu
- Mohamed Saleh Azan Azan Hivi kweli unatuwekia hawa tuwajadili kijana naona sasa umetuchoka!
- Lugano Sovile #Shit got real
- Ghaty Matiko Google translator failled!!
- Mabula Vedastus Huyo kazi yake ukahaba na kwenye siasa kafikaje?
- Kaiza Maxwell Charles Ila kwa jinsi Tanzania isivyoishiwa vituko huyu Mwanamke asiye na elimu wala iq anaweza kuteuliwa kuwa mbunge hivi hivi tunaona...
- Jinadogo Mamuya tims ukahaba tu
- George Kassimu Analisahaulika ukuu wa Wilaya
- Paul Mrema maoni yangu gari rangi ya kijani imejaa imezidisha mzigo ipo katikati ya mlima kitonga halafu breki zime fail
- Felix K Aweda DC alikosa ubunge atoe wapi?
Du hatari. - Abasi Longo Hafai kabisa kuwa kiongozi kwenye jamii yoyote inayofikiri .ila huko alikopitia watampa tu
- Kaiza Maxwell Charles Akimpigia campaign rais akashinda basi lazima rais alipe fadhira na ndo hapo anamtwanga ubunge wa VITU sio Viti maalum
- Steven I. Mshiu To hell. siasa imekuwa usanii eeh! Nasikitika sana kwa taifa kama tanzania kuchagua viongozi kwanza wasiokuwa na maadili mema. Basi sawa, nikiwa shuleni niliambiwaga kuna kitu kinaitwa "struggle for the fittest". Ndicho anachokifanya huyu. Ubunge au kuongoza watu wazima sio u-miss ati. Mpeni jembe akalime vitunguu kule mang'ola. Hatumtakiii huyu... Naomba kuwasilisha.
- Jinadogo Mamuya naibiwa spika Steve I Mshiu nashuruku umewakilisha mtizomo yetu Hawajama wanatuona madanannda
- Jacob Nyongesa Swere Viti maalum hivi vifutwe tu.
- Fred Fwaya Wanaigiza eti siasa sio mchezo
- Catherin Ringo wameburugwa
- Steven I. Mshiu Ahsante mkuu. Naona wanataka kugeuza bunge kuwa lokesheni ya kurekodia vipindi vya "TV SHOW"
- Emmanuel Zablon huyu kichaa nn???.... yaani pesa zake akawahonge kina aslay kwenye shoo alafu cc 2mchangie form.. kafe mbele
- Samwel Charles Muniko Uuiuwiiiiiiiiiii watapeleka mswasa wa kuvaa vimini bungeni kisha kisikia WANAFIKI SEMENI NDIYOOOOOOO NA WASIYO WANAFIKI SEMENI SIYOOOO.
- Josephat Msanga sijawai sikia walaona kizazi kisichotaka kuhusisha ubongo kama hiki cha watanzania. bado mnasupport ccm?
- Mboza Michael Mmmh hii ni vita ya 3 ya dunia.... Siasa imekuwa mchezo wa lede kila anayetaka kucheza acheze, ha ha ha ha ha ha uwiiiii
- Yolamu Mwalingo somo hilo. Naichukia sana hi nyinyim
- Andrerw Zefania Musimuonee wema jamani mbona majimarefu kawambunge kupitia ccm
- Ester Ringo Km wema atapita basis na mm uchaguzi ujao mtakua rais
- Mbwilo Clement Pumbavu kabisa
- Hando Hando Anaenda kutafuta mabwana labda
- Rama Omari Sasa hii siasa imeingiliwa na naona inalipa sana ndomaaana mpaka wauza viuno na vinguo vifupi ataweza
- Fredrick Maro Duuuu ubunge,umevamiwa!!
- Eline Mwijage N Following..
- Abdulrazar Hangle Kwenye siasa hakunaga mapenzi ispo kuwa inabid2angalie nawakat 2liokuwanao atatusaidiaje kimaendeleo.
- Sylvanus Kavindi !! " Opportunist". Malisa Godlisten
- Mahmoud Nur Othman Shida!
- Rukia Wa Mtwara Ccm watampa huyu wallah jamani
- Abrey Kisulo hamfai mafisadi
- Fina Lyimo mh,....
- Abduel Ebenezer Kelakela Duh!!! Mimi sina Maoni kwakweli..hata mimi naweza kutangaza nia kwa kutumia jani bichi la mgomba..Loh!!! This country!!!
- Abduel Ebenezer Kelakela Hii hata SIWEZI ku LIKE kabisaaaa
- Bernard Bakuza Ashindwe na alegee
- Mariam Ziaka Good wema hili ndochama letu jamani nilazima tujivunie.ukiona mataani kwenu hisutwi .huzushiwo jambo wala hakuna hata wakukubeza hapa hawakupendi ukipendwa lazima utakuwa midomoni mwaooo
- Mariam Ziaka Wema mshauri wako ninampa hongera sana
- Geofrey Morisi Amkumbuke amina chifupa
- Yasini Hussein Jalibu
- Misinu Misobi kinawezekana tu ,jitupie
- Jackson Maswaga kwa jinsi unavyojidhalilisha kwa picha zako za utupu unatakiwa ukiombe radhi ccm nafasi haikufai kabisa
- Mariam Ziaka Wema kaza but I usiogope tutakuchagua ulivauchi ulienda kwake bwama wewe ulikuwa kazini ukiwa bungeni unavaa mbunge sasa Kule ulikuwa jobb
- Fatma Salum Hahaha jmn
- Mansuri Ngenzi Gombea coz uratupa raha nasauti yako bungen nowadays hatuna superstar wakike bungen
- Zeyna Kitabu M bunge wetujuuuuuuuuu
- Fatma Mbelwa Mhandeni piga kazi mama Mungu yupo nawe ushindi haupatikani bila vikwazo kama hivi unavyoviona keep it up my love
- Peter Michael kila mtanzania mwenye akili timamu mwenye umri Kuanzia miaka 18 anaejua kusoma na Kuandika na ajawai kufungwa kwa makosa ya jinai ana haki ya kupiga na kupigiwa kura hiyo ni haki ya kikatiba! go wema go! kachukuwe form uingie Katika mchakato wa ubunge tunataka watu wenye udhubutu kma wewe!
- Jackson Mfalamagoha timu wema kazi mnayo
- Mansuri Ngenzi Sasa tutaskia katoka na waziri chonde wema usichafue lakini. .all DA best
- MJ Babara kwa maoni yangu Peter Michael unampoteza wemw sepetu, Hutakiwi kumpa hata moyo, mwelekeze kwa lugha ya wazi achana na falsafa hizo. hatufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. labda hilo jimbo atalogombea wakamchagua wawe na hulka kama zake kwa wenye akili is a BIG NO vote material
Nurah Tumaini viti maalumu fresh tu,akalete ladha bungeni


























































siasa za nchi hii zimekuwa rahisi mno da! tusipoangalia bunge letu litakuwa danguro sasa!
ReplyDelete