Polisi akionekana kumdhibiti mmoja wa vijana hao.Polisi mmoja mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada ya video moja kuwekwa kwenye mitandao ikionyesha akihangaisha kundi moja la vijana wengi wao wakiwa ni weusi.
Mkuu wa polisi McKinney anasema kuwa, anachunguza tukio hilo ambalo linafanyika wakati kuna misukosuko baina ya jamii za watu weusi nchini Marekani wanaodai kunyanyaswa na polisi.
0 comments:
Post a Comment